TUNDU LISSU ASABABISHA POLISI KUVAMIA MKUTANO WA SHEIKH PONDA

SHARE:

Jeshi la Polisi limevamia na kuzuia mkutano wa Sheikh Issa Ponda aliokuwa amepanga kuzungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la kusham...

Jeshi la Polisi limevamia na kuzuia mkutano wa Sheikh Issa Ponda aliokuwa amepanga kuzungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la kushambuliwa kwa risasi, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, mara baada ya kurejea kutoka Nairobi ambako alizungumza na Lissu.
Mkutano huo ulikuwa umeandaliwa kufanyika katika Hoteli ya Iris, iliyopo eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo ameeleza kwamba, baadhi ya waandishi wa habari ambao walikuwepo kwenye ukumbi huo wamekamatwa na polisi.
Sheikh Ponda alikwenda Nairobi kumjulia hali mbunge huyo anayepatiwa matibabu huko baada ya kushambuliwa kwa risasi Septemba 7 mwaka huu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: TUNDU LISSU ASABABISHA POLISI KUVAMIA MKUTANO WA SHEIKH PONDA
TUNDU LISSU ASABABISHA POLISI KUVAMIA MKUTANO WA SHEIKH PONDA
https://1.bp.blogspot.com/-5F1aqL_LOGE/Wd4PRxFKkII/AAAAAAAAf0w/aCzkmbdPG_A3jxg9dnic3OtHlhiZKQuOACLcBGAs/s1600/xDL2YbelXcAA7FY0-750x375.jpg.pagespeed.ic.ZAacen1fol.webp
https://1.bp.blogspot.com/-5F1aqL_LOGE/Wd4PRxFKkII/AAAAAAAAf0w/aCzkmbdPG_A3jxg9dnic3OtHlhiZKQuOACLcBGAs/s72-c/xDL2YbelXcAA7FY0-750x375.jpg.pagespeed.ic.ZAacen1fol.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/tundu-lissu-asababisha-polisi-kuvamia.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/tundu-lissu-asababisha-polisi-kuvamia.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy