VIDEO : UAMUZI WA SERIKALI KUHUSU VICHWA VYA TRENI VILIVYOTELEKEZWA BANDARINI

SHARE:

Serikali imeeleza kuwa ipo katika mchakato wa kununua vichwa 13 vya treni ambavyo vilitelekezwa katika bandari ya Dar es Salaam. Hayo y...

Serikali imeeleza kuwa ipo katika mchakato wa kununua vichwa 13 vya treni ambavyo vilitelekezwa katika bandari ya Dar es Salaam.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa leo Ijumaa (Oktoba 13) alipotembelea mradi wa mashine za ukaguzi wa mizigo katika bandari hiyo kwa lengo la kuongeza ulinzi na kudhibiti mapato, zenye thamani ya sh. 27 bilioni.
Profesa Mbarawa amesema timu ya wataalamu 11 imeundwa na serikali kwa ajili ya kufanya tathmini ya ubora pamoja na thamani ya fedha  ya vichwa hivyo na baada ya kukamilika watafanya makubaliano na mmiliki ili kuvinunua.
Vichwa hivyo viliibua utata baada ya kukiukwa kwa taratibu za manunuzi ambapo Shirika la reli tanzania (TRL) lilitia saini mkataba wa ununuzi na kampuni ya EMD ya Marekani lakini cha kushangaza utengenezaji ukafanywa na kampuni ya DCD ya Afrika Kusini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyowahi kutolewa na TRL kwa vyombo vya habari Machi 23, 2015 ilibainisha kuwa vichwa viwili kati ya 15 vya treni vilivyonunuliwa na shirika hilo vilipokelewa katika Bandari ya Dar es Salaam Machi 21, 2015.
Taarifa hiyo ilisema vichwa hivyo vimetengenezwa nchini Afrika Kusini na kwamba ununuzi huo umegharimu kiasi cha sh. 70.9 bilioni ambazo zote zilishalipwa.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: VIDEO : UAMUZI WA SERIKALI KUHUSU VICHWA VYA TRENI VILIVYOTELEKEZWA BANDARINI
VIDEO : UAMUZI WA SERIKALI KUHUSU VICHWA VYA TRENI VILIVYOTELEKEZWA BANDARINI
https://2.bp.blogspot.com/-BnWbPPAIYNc/WeD3uqcnE3I/AAAAAAAAgPQ/_bdOAquHV5EBTFGG3b-h1T5Ex3a_DEE_ACLcBGAs/s1600/x4347-MAKAME2016-640x375.jpg.pagespeed.ic.brP_-d55XO.webp
https://2.bp.blogspot.com/-BnWbPPAIYNc/WeD3uqcnE3I/AAAAAAAAgPQ/_bdOAquHV5EBTFGG3b-h1T5Ex3a_DEE_ACLcBGAs/s72-c/x4347-MAKAME2016-640x375.jpg.pagespeed.ic.brP_-d55XO.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/uamuzi-wa-serikali-kuhusu-vichwa-vya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/uamuzi-wa-serikali-kuhusu-vichwa-vya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy