UCHAGUZI DR CONGO MPAKA 2019

SHARE:

Uchaguzi katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hautaweza kufanyika hadi Aprili 2019, Tume ya Uchaguzi imesema. Katika taarifa...

Uchaguzi katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hautaweza kufanyika hadi Aprili 2019, Tume ya Uchaguzi imesema.
Katika taarifa yake, tume hiyo imesema itahitaji siku takribani 504 za kuandaa daftari la kuandikisha wapiga kura kukamika.
Taarifa hii inapeperusha makubalino kati ya rais Joseph Kabila na wapinzani yaliyosimamiwa na Kanisa Katoliki kwamba uchaguzi ufanyike kabla ya mwisho wa mwaka huu.
Huku awali, ratiba halisi ilipangwa kuwa uchaguzi huo ufanyike Novemba 2016 na baadaye kufutwa na tume ya uchaguzi wa nchi hiyo kwa madai ya hali ngumu ya kiuchumi na taratibu nyingine.
Kwa mantiki hii, Rais Joseph Kabila ataendelea kubakia katika nafsi hiyo kinyume na sheria.
Watu wengi wamefariki dunia katika maandamano kufuatia kupinga hatua hiyo kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters.
Hali ya uvunjifu wa amani imeripotiwa, katika maeneo ya Kasai ambapo taratibu za uandikishaji zilichelewa.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: UCHAGUZI DR CONGO MPAKA 2019
UCHAGUZI DR CONGO MPAKA 2019
https://4.bp.blogspot.com/-N9t1GdfoNJ0/Wd9JMgLpPoI/AAAAAAAAf-U/1FSxh3bapY8ZjIIXkTDoyqE5DTahRf3LQCLcBGAs/s1600/DRC-CONGO_1507805218-1600x705.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-N9t1GdfoNJ0/Wd9JMgLpPoI/AAAAAAAAf-U/1FSxh3bapY8ZjIIXkTDoyqE5DTahRf3LQCLcBGAs/s72-c/DRC-CONGO_1507805218-1600x705.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/uchaguzi-dr-congo-mpaka-2019.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/uchaguzi-dr-congo-mpaka-2019.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy