UHAMIAJI YATOA SIKU 30 KWA WAGENI KUTOA TAARIFA KATIKA OFISI ZA UHAMIAJI

SHARE:

Idara ya Uhamiaji nchini imetoa siku 30 kwa wageni wote ambao walipewa vibali vya kuishi nchini na idara hiyo kufika katika ofisi za Uham...

Idara ya Uhamiaji nchini imetoa siku 30 kwa wageni wote ambao walipewa vibali vya kuishi nchini na idara hiyo kufika katika ofisi za Uhamiaji zilizo karibu na maeneo ambayo wanaishi ili kutoa taarifa kuhusu uwepo wao katika maeneo hayo.
Akuzungumza na waandishi wa habari, Kamishna wa Usimamizi na Udhibiti wa Mipaka, Samuel Magweiga amesema jambo hilo lipo kisheria na lina lengo la kiusalama kuwafahamu wageni maeneo ambayo wanaishi na ofisi gani wanafanyia kazi.
“Wageni wote waliopata vibali vya kuishi nchini kutoka uhamiaji wanapowpewa vibali hivyo wanatakiwa wanaripoti kwa taarifa husika kuwasilisha taarifa zao na kumbukumbu zao kwa mfano amepata hapa makao makuu ya idara anapokwenda sehemu kama Kasulu, anapokwenda Tarime, anapokwenda  Newala anatakiwa aripoti katika ofisi iliyo karibu ili wawe na taarifa zake,
“Kutoa taarifa ni kwa ajili ya usalama na niongeze jambo kutoa taarifa kwa ofisi husika, ni kwa siku 30 na hizo siku zina sababu mtu anaweza kusema sababu kuwa ni miundombinu au akasema hakuelewa au hana taarifa lakini siku 30 zinatosha kabisa,” amesema Magweiga.
Amesema kutoa taarifa kutasaidia ufuatiliaji kwa mgeni iwapo lilatokea jambo lolote na kama siku 30 zitaisha bila wageni wengine kutoa taarifa katika vituo vya uhamiaji walivyonavyo karibu hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
“Kwa mujibu wa kanuni namba 29 ipo wazi kabisa inasema mtu yoyote yule kama hatatoa taarifa anaweza kupigwa faini isiyozidi 50,000 au kifungo cha miezi minane,” ameongeza Magweiga.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: UHAMIAJI YATOA SIKU 30 KWA WAGENI KUTOA TAARIFA KATIKA OFISI ZA UHAMIAJI
UHAMIAJI YATOA SIKU 30 KWA WAGENI KUTOA TAARIFA KATIKA OFISI ZA UHAMIAJI
https://1.bp.blogspot.com/-2EBTqaKH_hM/WdY-6xdXoGI/AAAAAAAAfho/hOUvJaaNKnIeCc5Y5bRNdoIgo_s5agMrQCLcBGAs/s1600/Idara-ya-Uhamiaji-750x375.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-2EBTqaKH_hM/WdY-6xdXoGI/AAAAAAAAfho/hOUvJaaNKnIeCc5Y5bRNdoIgo_s5agMrQCLcBGAs/s72-c/Idara-ya-Uhamiaji-750x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/uhamiaji-yatoa-siku-30-kwa-wageni-kutoa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/uhamiaji-yatoa-siku-30-kwa-wageni-kutoa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy