UTEUZI ALIOUFANYA RAIS MAGUFULI WAIBUA UTATA

SHARE:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tazanania, jana alitangaza mabadiliko katika baraza la mawaziri ambayo yalihusisha kuongezeka kwa wizara k...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tazanania, jana alitangaza mabadiliko katika baraza la mawaziri ambayo yalihusisha kuongezeka kwa wizara kutoka 19 na hadi kufikia 21.
Vile vile alitangaza kumteua Steven Kagaigai kuwa Katibu mpya wa Bunge akiichukua nafasi ya katibu aliyekuwepo Dk Thomas Kashililla na kueleza kuwa atapangiwa nafasi nyingine.
Uteuzi huu wa Katibu wa Bunge uliofanywa na Rais Magufuli umezua mjadala na kuwashtua wakosoaji ambao wamedai kuwa kanuni, taratibu na sheria zimekiukwa.
Akizungumzia suala hili la uteuzi wa Katibu wa Bunge, Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, alieleza kuwa Rais amekiuka sheria zinazopaswa kufuatwa ili kuteua Katibu.
Zitto alisema kwamba Sheria ya Utawala wa Bunge inamtaka Rais kuteua Katibu wa Bunge kutoka kwenye orodha ya watu watatu ambao wamependekezwa na Tume ya Huduma za Bunge. Lakini Rais Magufuli hakufuata utaratibu huo jambo ambalo linaonyesha wazi kuwa Bunge limedhibitiwa.
Naye Mbunge wa Kaliua kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Mgdalena Sakaya ameeleza kuwa anashangazwa na uteuzi huo kwa sababu hakuna na kikao cha kupendekeza majina matatu kwa Rais ili afanye uteuzi kilichofanyika kama kanuni zinavyotaka.
Alisema yeye ni kamishna wa Tume ya Bunge ambayo hupendekeza majina hayo, lakini hajasikia kikao, tetesi, wala kufahamishwa kwa namna yoyote ile kama kuna uteuzi wa aina hiyo.
“Sijui kwa kweli nimesikia suala hilo kutoka kwako. Uwih!! Umefanyika uteuzi, kwa kweli hatujakaa na wala sijasikia,” alisema Sakaya.
Hata hivyo, Rais Magufuli alieleza kuwa mawaziri wote pamoja na manaibu wao walioteuliwa kama wataridhia uteuzi huo, zoezi la kuwaapisha litafanyika Jumatatu, Oktoba 9, 2017 ikulu Jijini Dar es Salaam.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: UTEUZI ALIOUFANYA RAIS MAGUFULI WAIBUA UTATA
UTEUZI ALIOUFANYA RAIS MAGUFULI WAIBUA UTATA
https://4.bp.blogspot.com/-0aQv3jSwj3w/WdqM9GduoFI/AAAAAAAAflM/CCLnEwNAv0A65xkn09epSSLWQU-EGBkoQCLcBGAs/s1600/xDLhQncIWAAI8z9N-750x359.jpg.pagespeed.ic.j3HbSsFlmo.webp
https://4.bp.blogspot.com/-0aQv3jSwj3w/WdqM9GduoFI/AAAAAAAAflM/CCLnEwNAv0A65xkn09epSSLWQU-EGBkoQCLcBGAs/s72-c/xDLhQncIWAAI8z9N-750x359.jpg.pagespeed.ic.j3HbSsFlmo.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/uteuzi-alioufanya-rais-magufuli-waibua.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/uteuzi-alioufanya-rais-magufuli-waibua.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy