VIKWAZO VYA KIBIASHARA KATI YA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA KUTATULIWA

SHARE:

Na Ali Issa  Maelezo Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko, Balozi Amina Salum Ali amesema vikwazo vya kibiashra baina ya Zanzibar na T...

Na Ali Issa  Maelezo
Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko, Balozi Amina Salum Ali amesema vikwazo vya kibiashra baina ya Zanzibar na Tazania Bara vinaendelea kufanya mazungumzo na watendaji wa taasisi za Tanzania Bara ili kuondosha vikwazo vya kibiashara baina ya pande hizo mbili.
Hayo ameyasema katika Baraza la Wakilishi Chukwani katika kikao kinachoendelea barazani hapo wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayuob aliyetaka kujua, kwanini hivi karibuni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanazinai ilifanya mazungumzo na Serikali ya Kenya kutatua changamoto za kibiashara baina ya nchi hizo na mazungumzo yao yamekuwa ya mafanikio  makubwa kwa kupitisha didhaa baina ya Kenya na Tanzania zimetatuliwa .
Je, kwanini kwa upande wa Zanzibar na Tanzania Bara kwa mda mrefu kumekuwa na changamoto za wafanyabiashara wa Zanzibar kufanya biashara bila ya bughudha Tanzania Bara licha ya jambo hilo kuwa la muda mrefu bado changamoto hizo zipo kwa miaka mingi zikiwa nchi zao zina udugu wa damu kwa mda mrefu.
Waziri alisema Kenya iliwekea vikwazo Tanazania katika bidhaa ya unga na bidhaa ya gesi na hivyo kusababisha usumbufu wa biashara kwa upande wa Tanzania.
Alisema na kwa upande wa Tanzania nayo iliwaekea vikwazo Kenya katika bidhaa za maziwa na sigara kuingia ndani ya soko la Tanzania. Baada ya jambo hilo kupelekwa ngazi za juu viongozi wakuu wa nchi hizo mbili walikubaliana kuondolewa vikwazo baina ya nchi zao mbili na makubaliano hayo yalifikiwa katika mkutano uliofanyika Septemba 8, 2017 mwaka huu.
Alisema kwa upande wa vikwazo vya kibiashara baina Tanzania Bara na Zanzibar, wizara yake inaendelea kufanya mazungumzo  na watendaji wa taasisi za bara ili kuondosha vikwazo baina ya nchi hizo mbili.
Waziri huyo amesema hivi karibuni wizara yake ilikuwa na kikao na wizara ya viwanda ili kuangalia matatizo yanayowakabili wafanyabiashara.
Aidha waziri huyo alisema kuwa, kupitia kamati ya kusimamia masuala ya vikwazo vya kibiashara visivyo kuwa vya kiushuru kamati hiyo imeundwa ili kufuatilia changamoto hizo ili hatimaye kuendelea kuzitatua na kuzipatia ufumbuzi muafaka.
Hata hivyo waziri huyo alisema suala la vikwazo vya kibiashara baina yao litazungumzwa kwenye vikao vya mashirikiano baina SMT na SMZ vinavyofuata.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: VIKWAZO VYA KIBIASHARA KATI YA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA KUTATULIWA
VIKWAZO VYA KIBIASHARA KATI YA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA KUTATULIWA
https://3.bp.blogspot.com/-T-eTcgQUzIs/Wd3hdc_TbdI/AAAAAAAAfy4/32zuCmjtgGw2IE3enZR-li_J3lIWEkvPACLcBGAs/s1600/ximage-600x375.jpg.pagespeed.ic.m0KeanY7wu.webp
https://3.bp.blogspot.com/-T-eTcgQUzIs/Wd3hdc_TbdI/AAAAAAAAfy4/32zuCmjtgGw2IE3enZR-li_J3lIWEkvPACLcBGAs/s72-c/ximage-600x375.jpg.pagespeed.ic.m0KeanY7wu.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/vikwazo-vya-kibiashara-kati-ya-zanzibar.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/vikwazo-vya-kibiashara-kati-ya-zanzibar.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy