Wabunge wa Chadema watinga Takukuru

SHARE:

Wabunge watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joshua Nassari, Godbless Lema na Peter Msigwa wamewasilisha ushahidi wao Of...Wabunge watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joshua Nassari, Godbless Lema na Peter Msigwa wamewasilisha ushahidi wao Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU juu ya madai ya kununuliwa kwa Madiwani mkoani Arusha na Iringa.

Mara baada ya kupokelewa na watendaji wa TAKUKURU, Nassari amezungumza na wanahabari na kueleza kesho anatarajia kufungua jalada ambapo ataandika malalamiko yake huku akieleza uchunguzi umeshaanza.

Hata hivyo, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Valentino Mlowola amesema wamepokea taarifa tu kutoka kwa wabunge hao na kwamba kinachosubiriwa sasa ni ushahidi.

Wakizungumza mara baada ya kuwasilisha walichodai ni ushahidi, mbunge Godbless Lema, Joshua Nassa na Peter Msigwa wamesema kuwa, tayari wameshakubaliana mambo ya msingi na Takukuru na kesho atafungua jalada ili kuandika malalamiko yao rasmi.

Sakata la Madiwani wa CHADEMA kuhamia CCM limezingirwa na tuhuma za kuhongwa na siyo kama waliondoa kwa ridhaa kama ambavyo wenyewe wamekuwa wakijibainisha.

Hata hivyo Azam tv imeongea na mmoja wa diwani aliyetajwa katika unaodaiwa ushahidi uliowekwa hadharani na Mbunge Lema na Nassari anayeitwa Lengai Oletabaya aliyekuwa Diwani wa Kata ya Tambasha Arusha vijijini, ambaye amedai kinachoendelea ni tamthilia na kwamba muda si mrefu watakuja na majibu kamili.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Wabunge wa Chadema watinga Takukuru
Wabunge wa Chadema watinga Takukuru
http://zotekaliblog.com/wp-content/uploads/2017/10/NASAR-AND-LEMA_1506965605-1600x705.png
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/wabunge-wa-chadema-watinga-takukuru.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/wabunge-wa-chadema-watinga-takukuru.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy