WAFAHAMU MAWAZIRI NA MANAIBU WALIOTUMBULIWA NA RAIS

SHARE:

Rais Dkt Magufuli leo Oktoba 7, 2017 ametangaza mabadiliko katika Baraza la Mawaziri ambapo wapo walioachwa, wapo waliobadilishwa wizara ...

Rais Dkt Magufuli leo Oktoba 7, 2017 ametangaza mabadiliko katika Baraza la Mawaziri ambapo wapo walioachwa, wapo waliobadilishwa wizara na kupandishwa ngazi lakini pia wamo wapya walioingizwa.
Mbali na uteuzi wa viongozi hao wapya, Rais Magufuli pia ameongeza wizara nyingine mbili kwa kuivunja Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na kuwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Wizara ya Kilimo.
Wizara nyingine iliyovunjwa na Wizara ya Nishati na Madini na kuwa Wizara ya Nishati na Wizara ya Madini, kila moja ikiwa na viongozi wake wanaojitegemea.
Mawaziri na Manaibu Waziri ambao wameachwa nje katika mabadiliko ya baraza hilo ni;
  1. Wizara ya Maliasili na Utalii- Prof. Jumanne Maghembe
  2. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii– Mhandisi, Ramol Makani
  3. Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo- Anastasia Wambura.
  4. Waziri wa Maji na Umwagiliaji- Mhandisi Gerson Lwenge
Baadhi ya nafasi katika wizara mbalimbali zilikuwa wazi na hivyo Rais ameteua watu wakujaza nafasi hizo.
Miongoni mwa nafasi zilizokuwa wazi ni pamoja na Waziri wa Nishati ya Madini ambapo sasa Waziri wa Nishati ni Merdad Kalemani na Waziri wa Madini ni Angellah Kairuki. Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Muhongo alijiuzulu.
Nafasi zingine zilizokuwa wazi ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano iliyokuwa ikishikiliwa na Edwin Ngonyani ambaye alijiuzulu, pamoja na nafasi ya Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu akishughulika na walemavu iliyokuwa ikishikiliwa na Dk Abdallah Possi aliyeteuliwa kuwa Balozi.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WAFAHAMU MAWAZIRI NA MANAIBU WALIOTUMBULIWA NA RAIS
WAFAHAMU MAWAZIRI NA MANAIBU WALIOTUMBULIWA NA RAIS
https://1.bp.blogspot.com/-bB_E-7DrpZk/WdkakHCxitI/AAAAAAAAfkM/PzWofUoDu6wna9AHVy9-MBw8NZddIIK9gCLcBGAs/s1600/xunnamed-62-750x375.jpg.pagespeed.ic.zkhtr9VtEJ.webp
https://1.bp.blogspot.com/-bB_E-7DrpZk/WdkakHCxitI/AAAAAAAAfkM/PzWofUoDu6wna9AHVy9-MBw8NZddIIK9gCLcBGAs/s72-c/xunnamed-62-750x375.jpg.pagespeed.ic.zkhtr9VtEJ.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/wafahamu-mawaziri-na-manaibu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/wafahamu-mawaziri-na-manaibu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy