WAKALA WA OZIL KAYAZUNGUMZA HAYA KUHUSU MCHEZAJI WAKE KWENDA MAN UNITED

SHARE:

Wakala wa kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil kwa mara nyingine amesisitiza kuwa mteja wake hana mpango wa kuondoka klabuni hapo na nia yake ni...

Wakala wa kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil kwa mara nyingine amesisitiza kuwa mteja wake hana mpango wa kuondoka klabuni hapo na nia yake ni kuendelea kucheza katika Premier League kwa misimu miwili ijayo.
Wakala huyo, Dr Erkut Sogut amethibitisha kuwa mazungumzo kati ya mteja wake na Arsenal yanaendelea na kusisitiza kuwa yapo katika hatua nzuri lakini kuhusu kuhamia Manchester United ameshindwa kuweka wazi zaidi ya kusema anataka kubaki England kucheza katika Premier.
Kiungo huyo amekuwa akitajwa kuwaniwa na klabu kadhaa ikiwemo Manchester United na bado hajasaini mkataba mpya hadi sasa.
Klabu nyingine inayotajwa kumwania ni Inter Milan japokuwa kikwazo kikubwa ambacho kinaonekana kuwepo ni dau lake la mshahara kuonekana kuwa kubwa, kwani anataka alipwe pauni 350,000 kwa wiki.
"Ozil anataka kuendelea kucheza Premier League kwa miaka miwili ijayo, mazungumzo yanaendelea vizuri kati yetu na Arsenal,” alisema Sogut.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WAKALA WA OZIL KAYAZUNGUMZA HAYA KUHUSU MCHEZAJI WAKE KWENDA MAN UNITED
WAKALA WA OZIL KAYAZUNGUMZA HAYA KUHUSU MCHEZAJI WAKE KWENDA MAN UNITED
https://4.bp.blogspot.com/-u8kCna_26fM/WeCVfzHtgwI/AAAAAAAAgJo/14AgDdgtbOQgYrzGZuXFMBiqnvSQS89EwCLcBGAs/s1600/Ozil1.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-u8kCna_26fM/WeCVfzHtgwI/AAAAAAAAgJo/14AgDdgtbOQgYrzGZuXFMBiqnvSQS89EwCLcBGAs/s72-c/Ozil1.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/wakala-wa-ozil-kayazungumza-haya-kuhusu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/wakala-wa-ozil-kayazungumza-haya-kuhusu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy