WANAHABARI ZIMBABWE WALAANI KUKAMATWA KWA MWENZAO

SHARE:

Mke wa rais Mugabe Grace Mugabe (picha kubwa) na mwandishi Kenneth Nyangani, aliyeandika habari za mama huyo kugawa nguo za ndani zilizotu...

Mke wa rais Mugabe Grace Mugabe (picha kubwa) na mwandishi Kenneth Nyangani, aliyeandika habari za mama huyo kugawa nguo za ndani zilizotumika
Mwandishi wa habari wa Zimbabwe, Kenneth Nyangani aliyekamatwa baada ya kuandika habari iliyomuhusu mke wa rais kugawa nguo za ndani zilizotumika kwa wanachama wa chama tawala cha ZANU-PF  ameshtakiwa kwa kosa la jinai.
Mara baada ya kukamatwa Jumatatu usiku, makundi mbalimbali yalilaani tukio hilo, ikiwemo kamati  ya kulinda maslahi na haki ya waandishi wa habari (CPJ) kulielezea tukio hilo kama “udhalilishaji” na “kutisha”.
Mratibu wa Programu za Afrika CPJ, Angela Quintal ametoa wito wa kuachiwa kwa haraka mwandishi huyo.
“Mamlaka za Zimbabwe zinatakiwa kuacha mara moja kumsumbua Kenneth Nyangani na kumwachia mara moja bila mashtaka … Na ukweli ni kwamba, Polisi walipaswa kumbadilishia mashtaka ya awali kwasababu, yalikuwa si ya kikatiba bali yanalenga kutishia waandishi wa Zimbabwe katika kujiamulia,” alisema katika taarifa yake.
Mwandishi wa habari huyo anayefanyakazi katika gazeti la NewsDay nchini humo alitarajiwa kupandishwa kortini leo, Jumatano, kwa mujibu wa mwanasheria wak, Passmore Nyakureba.
Habari yake hiyo pia iliwekwa katika tovuti ya gazeti hilo juzi jumatatu ikisema, mke wa rais Grace Mugabe alitoa msaada wa nguo za ndani zilizotumika kwa wanachama wa  chama chake huko Mutare.
Na hii ndiyo sababu ya kukamatwa kwake na kuwekwa chini ya ulinzi.
Inadaiwa kuwa kufuatia tukio hilo, wanachama wa Chama cha ZANU-PF walikusanyika kwenye kituo cha polisi cha Mutare kama kuonyesha mshikamano kwa mke huyo wa rais.
Katika tahariri yake, gazeti la NewsDay imelielezea tukio hilo la kukatwa kwa mfanyakazi wake, Kenneth Nyangani kuwa ni “kosa baya, na upumbavu” kwa mamlaka hiyo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WANAHABARI ZIMBABWE WALAANI KUKAMATWA KWA MWENZAO
WANAHABARI ZIMBABWE WALAANI KUKAMATWA KWA MWENZAO
https://4.bp.blogspot.com/-vXZMywwsx0k/WdTyZmsHiBI/AAAAAAAAfeA/D8xu1E29Z4A1Qq41bApAsIP2SHQygJ5OQCLcBGAs/s1600/zimbabwe_1507126837-1600x705.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-vXZMywwsx0k/WdTyZmsHiBI/AAAAAAAAfeA/D8xu1E29Z4A1Qq41bApAsIP2SHQygJ5OQCLcBGAs/s72-c/zimbabwe_1507126837-1600x705.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/wanahabari-zimbabwe-walaani-kukamatwa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/wanahabari-zimbabwe-walaani-kukamatwa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy