WATUHUMIWA UHUJUMU UCHUMI WALALAMIKIA MSOTO RUMANDE

SHARE:

Jumla ya watuhumiwa  20 wa kesi mbili tofauti za uhujumu uchumi na kutakatisha fedha, jana Jumanne, walipandishwa kizimbani katika mahaka...

Jumla ya watuhumiwa  20 wa kesi mbili tofauti za uhujumu uchumi na kutakatisha fedha, jana Jumanne, walipandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Tabora mjini.
Hata hivyo kesi hizo zimeendelea kutajwa na kupigwa kalenda kwa madai kwamba upelelezi bado haujakamilika huku watuhumiwa hao wakianza kulalamikia hali hiyo.
Katika  shauri  namba  mbili  la  mwaka  2017 linalowakabili  viongozi  sita  wa  Wetcu, Wakili wa Jamhuri   Tumaini  Pius  aliieleza  mahakama kwamba  uchunguzi  wa  shauri  hilo  bado  unaendelea  na  hivyo  kuomba  tarehe  nyingine  ya  kutajwa  tena  kwa  shauri  hilo.
Watuhumiwa  sita  wakiwemo  watumishi na baadhi  ya viongozi  wa Wetcu ngazi  za juu  licha  ya  kwamba  mahakama  hiyo  ya  wilaya  kutokuwa na  uwezo  wa  kisheria  wa kusikiliza  shauri  hilo la uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa  mwenyekiti  wa  Wetcu, Gabriel  Mkandala mara baada ya kuahirishwa kwa kesi hiyo, waliiomba mahakama kuangalia  uwezekano  wa  kutoa  amri kwa  walalamikaji  (Jamhuri) kuharakisha  uchunguzi  ili  haki  iweze  kutendeka.
Mshtakiwa huyo amesema, mpaka sasa tayari wamekwisha sota mahabusu kwa  takribani  miezi saba jambo ambalo wamedai  haliwatendei  haki.
Mkandala ambaye katika maombi hayo yaliyoungwa mkono na wenzake watano mbele ya mahakama hiyo ya hakimu mkazi wilaya ya  Tabora mjini, alisisitiza kwamba muda waliokaa mahabusu ni adhabu tosha hata kabla ya kupatikana na hatia kufuatia tuhuma  zinazowakabili.
Hakimu wa mahakama hiyo, Emmanuel Ngigwana kufuatia maombi hayo ya watuhumiwa akautaka upande wa Jamhuri kuzingatia muda  unaotolewa  na mahakama wakati wa kuendelea kusubiri upelelezi unaofanywa na Jeshi la Polisi kwakuwa sasa shauri hilo limechukua  muda mrefu kwa ajili ya kutajwa pekee kabla ya kuanza kusikilizwa.
Aidha shauri namba tatu la uhujumu uchumi na kutakatisha fedha linalowakabili maafisa wanne wa benki ya Posta, sasa limechukua sura  mpya na kuongezwa watuhumiwa wengine wapatao kumi ambao wamepandishwa kizimbani kwa mara ya pili wakijumuishwa na maafisa  hao wa benki ya Posta wakiwemo meneja, mhasibu na afisa mikopo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WATUHUMIWA UHUJUMU UCHUMI WALALAMIKIA MSOTO RUMANDE
WATUHUMIWA UHUJUMU UCHUMI WALALAMIKIA MSOTO RUMANDE
https://2.bp.blogspot.com/-yhspDz7AAH4/WdT2cezSEgI/AAAAAAAAfes/L1kKIkUzTvAVyXiio2nmDG0s8vwRJv4kQCLcBGAs/s1600/mahakama_1507103680-1600x705.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-yhspDz7AAH4/WdT2cezSEgI/AAAAAAAAfes/L1kKIkUzTvAVyXiio2nmDG0s8vwRJv4kQCLcBGAs/s72-c/mahakama_1507103680-1600x705.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/watuhumiwa-uhujumu-uchumi-walalamikia.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/watuhumiwa-uhujumu-uchumi-walalamikia.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy