WAZIRI MATIANG'I APIGA MARUFUKU MAANDAMANO KENYA

SHARE:

Kaimu Waziri wa Mambo ya Ndani, Fred Matiang'i amepiga marufuku maandamano yanayofanyika katikati ya miji kwa madai ya kulinda usalam...

Kaimu Waziri wa Mambo ya Ndani, Fred Matiang'i amepiga marufuku maandamano yanayofanyika katikati ya miji kwa madai ya kulinda usalama na amani ya wananchi wa maeneo hayo hususani shughuli za uchumi na biashara.
Waziri huyo amelaani maandamano yaliyoratibiwa na Norman Magayo na kusema kuwa Serikali itamfungulia mashtaka kutokana na uharibifu uliofanyika jana, Jumatano katika jiji la Nairobi.
Miongoni mwa miji iliyopigwa marufuku ni pamoja na Nairobi, Mombasa na Kisumu.
Waziri Matiang’i amewataka waandamanaji kufuata taratibu za nchi kwa kupata ruhusu ya polisi iwapo wanaweza kuandamana ama la na katika eneo husika.
"Maandamano ya amani yanaruhusiwa kwani ni haki ya msingi kwa wakenya wote, ila hatutaruhusu kupitia hilo watu kufanya vitendo vya uharibifu wa kuharibu mali za watu kwa kigezo cha maandamano ya amani," alisema waziri Matiang’i.
Ametoa wito kwa wale wote waliofanyiwa  uharibifu wa magari wakati wa maandamano hayo pamoja na mali nyingine, kufika kwenye vituo vya polisi kufungua kesi, ili hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa walioratibu maandamano hayo.
Waziri huyo amesema, amewasiliana na jumuiya ya wafanyabiashara leo, Alhamisi ambao wamelalamikia maandamano hayo kuathiri shughuli za kibiashara kwenye miji mikubwa na kusababisha mdororo wa uchumi huku baadhi wakihofia kupoteza mali zao.
Wakati waziri huyo akitangaza mari hiyo, Kiongozi wa vijana wa NASA kwa upande wake ameitaka Serikali ya Kenya kutambua kuwa, maandamano ni haki yao kikatiba na hawataacha kuandamana. 

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WAZIRI MATIANG'I APIGA MARUFUKU MAANDAMANO KENYA
WAZIRI MATIANG'I APIGA MARUFUKU MAANDAMANO KENYA
https://1.bp.blogspot.com/-yphcB1JUKLs/Wd9JxXNfg6I/AAAAAAAAf-c/cxJgpC5wiN4jDXQMNiS6gG5oP-iGlyYHACLcBGAs/s1600/Matia%2527ng_1507802584-1600x705.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-yphcB1JUKLs/Wd9JxXNfg6I/AAAAAAAAf-c/cxJgpC5wiN4jDXQMNiS6gG5oP-iGlyYHACLcBGAs/s72-c/Matia%2527ng_1507802584-1600x705.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/waziri-matiangi-apiga-marufuku.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/waziri-matiangi-apiga-marufuku.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy