ZAMARADI WA CLOUDS TV AFUNGA NDOA KIMYA KIMYA NA MTOTO WA KIGOGO

SHARE:

Taarifa zilizosambaa kwa wingi katika mitandao ya kijamii kuanzia usiku wa kuamkia leo zinaeleza kuwa Zamaradi Mketema ameolewa na mtoto ...

Taarifa zilizosambaa kwa wingi katika mitandao ya kijamii kuanzia usiku wa kuamkia leo zinaeleza kuwa Zamaradi Mketema ameolewa na mtoto wa ndugu wa kiongozi mkubwa katika serekali ya awamu ya tano.
Zamaradi ambaye pia ni mtangazaji wa Take One, kipindi kinachorushwa na Clouds Tv, imewahi kudaiwa kuwa alikuwa na uhusiano na kiongozi mmoja wa Clouds Media Group na kwamba, wawili hao huenda wangeoana.
Kufungwa kwa ndoa hiyo kumewashtua na kuwashangaza wengi kwani ni kitu ambacho hakikutarajiwa kutokana na watu kufahamu uhusiano uliokuwepo kati ya Zamaradi na kuongozi huyo.
Watu mbalimbali waliandika kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii kumpongeza Zamaradi kwa uamuzi huo wa kuolewa, lakini pia kumtakia kheri na baraka tele katika ndoa yake.
Katika ukurasa wake, Zamaradi aliweka picha akiwa katika vazi la harusi na kuandika “ALHAMDULILLAH!!.”


Hapa chini ni kilichoandikwa na watu wengine kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupata taarifa ya ndoa hiyo;Jina moja tu Asubuhi ya leo, ZAMARADI MKETEMA 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌! Wallahi thats how a Real Woman should Move, PS: i hope Mama Tee is taking Notes!

Mwezi huu September yametokea mengi sana ila ya kufungia mwezi ni HALLELUJAH na ZAMARADI kuolewa, I hope October tutaona mengi zaidi 🃏

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ZAMARADI WA CLOUDS TV AFUNGA NDOA KIMYA KIMYA NA MTOTO WA KIGOGO
ZAMARADI WA CLOUDS TV AFUNGA NDOA KIMYA KIMYA NA MTOTO WA KIGOGO
https://3.bp.blogspot.com/-IBmhVmbl3xE/WdCsphPicaI/AAAAAAAAfak/ty1lqPKt_eY9Mm_3tVHHLF9sh_4ZG5QYwCLcBGAs/s1600/zamaradi.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-IBmhVmbl3xE/WdCsphPicaI/AAAAAAAAfak/ty1lqPKt_eY9Mm_3tVHHLF9sh_4ZG5QYwCLcBGAs/s72-c/zamaradi.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/10/zamaradi-wa-clouds-tv-afunga-ndoa-kimya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/10/zamaradi-wa-clouds-tv-afunga-ndoa-kimya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy